PMawenge
PMawenge
  • Видео 126
  • Просмотров 2 657 840

Видео

MAANA YA TATTOO - P Mawenge
Просмотров 5 тыс.Месяц назад
Its all about the meaning of tattoos to my knowledge
ILikuwa Nomaaaaa!! P Mawenge LIVE Performing WAONGO On EA Radio
Просмотров 5772 месяца назад
#Waongo #Pmawenge #KiwalaniKid #hiphop
P Mawenge - Waongo Lyrics Video
Просмотров 6852 месяца назад
Now you can go word to word with P Mawenge on “Waongo” performance 😎
P Mawenge - Waongo (Official Video)
Просмотров 27 тыс.2 месяца назад
Waongo is a swahili word for “Liars". So the song tells more about the people who are not true to others and to themselves
P Mawenge Feat Soprano - Mafuriko
Просмотров 2,6 тыс.3 месяца назад
Floods has been a very huge disaster ruining peoples livess and properties
Tamaduni Nation - P Mawenge, Ghetto Ambassador , Clint Fierce & Mad Kachaa
Просмотров 2,9 тыс.6 месяцев назад
One of the best Tamaduni Muzik collaborations recorded under producer Kibabu Wapoteen
P Mawenge X Mansu-Li - Best Friend (Official Audio)
Просмотров 9 тыс.6 месяцев назад
#BestFriend #PMawenge #MansuLi #KikosiKazi This is a Love Rap song from P Mawenge & Mansu Li after doing their last duo project since 2012
P Mawenge- Emojis (Official Lyrics Video)
Просмотров 11 тыс.8 месяцев назад
Get all my music here 👇🏻👇🏻 linktr.ee/Pmawenge
P Mawenge x Y Prince - Feel Me (Official Video)
Просмотров 10 тыс.9 месяцев назад
Get My Songs Here👇🏻👇🏻 linktr.ee/Pmawenge
P Mawenge - Tukutane Gesti (Official Video)
Просмотров 59 тыс.9 месяцев назад
Get all my music here…👇🏻 linktr.ee/Pmawenge
P Mawenge - Boss Freestyle (Official Audio)
Просмотров 27 тыс.9 месяцев назад
Get all my music here: linktr.ee/Pmawenge
P Mawenge - Be My Baby
Просмотров 5 тыс.10 месяцев назад
Boomplay : www.boomplay.com/share/music/136723270?srModel=COPYLINK&srList=IOS Audiomack: audiomack.com/pmawenge/song/be-my-baby?share-user-id=639660 Mdundo: mdundo.com/song/2624327
P Mawenge Performing CUSTOMER CARE Live On Alliance Française Stage For TAMU AFRICAN NIGHT
Просмотров 2,6 тыс.Год назад
P Mawenge Performing CUSTOMER CARE Live On Alliance Française Stage For TAMU AFRICAN NIGHT
P Mawenge - Customer Care LYRICS VIDEO
Просмотров 3,9 тыс.Год назад
P Mawenge - Customer Care LYRICS VIDEO
P Mawenge - Customer Care Ft Dj Gold & Foby
Просмотров 293 тыс.Год назад
P Mawenge - Customer Care Ft Dj Gold & Foby
P MAWENGE - GROUP ADMIN INSTRUMENTAL
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
P MAWENGE - GROUP ADMIN INSTRUMENTAL
P Mawenge - Group Admin (Official Video)
Просмотров 177 тыс.Год назад
P Mawenge - Group Admin (Official Video)
HILI TUKIO LILILONIKUTA LIMENIFUNZA MAMBO MENGI SANA MAISHANI MWANGU
Просмотров 2,1 тыс.Год назад
HILI TUKIO LILILONIKUTA LIMENIFUNZA MAMBO MENGI SANA MAISHANI MWANGU
P Mawenge feat Nuruelly - FISTULA
Просмотров 4,9 тыс.Год назад
P Mawenge feat Nuruelly - FISTULA
P Mawenge ft One The Incredible- Afande Msela
Просмотров 31 тыс.Год назад
P Mawenge ft One The Incredible- Afande Msela
P Mawenge - Upande Wa Pili
Просмотров 6 тыс.Год назад
P Mawenge - Upande Wa Pili
Nonji x Mwano - Nishalipa Kodi (Official Audio)
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
Nonji x Mwano - Nishalipa Kodi (Official Audio)
P Mawenge - Ngumi 21 (Mkojani Movie Soundtrack)
Просмотров 4 тыс.Год назад
P Mawenge - Ngumi 21 (Mkojani Movie Soundtrack)
P Mawenge - LEO (Refix) OG by Mabantu
Просмотров 10 тыс.Год назад
P Mawenge - LEO (Refix) OG by Mabantu
P Mawenge - MVUVI (Maombolezo Ajali Ya Ndege)
Просмотров 6 тыс.Год назад
P Mawenge - MVUVI (Maombolezo Ajali Ya Ndege)
P Mawenge - Call Za Minuso ft Franken (SiMa EP)
Просмотров 12 тыс.Год назад
P Mawenge - Call Za Minuso ft Franken (SiMa EP)
P Mawenge- Ujumbe Muhimu(SiMa EP)
Просмотров 9 тыс.Год назад
P Mawenge- Ujumbe Muhimu(SiMa EP)
P Mawenge- Group Admin (SiMa EP)
Просмотров 20 тыс.Год назад
P Mawenge- Group Admin (SiMa EP)
P Mawenge - Photoshoot ft Tatii (SiMa EP)
Просмотров 8 тыс.Год назад
P Mawenge - Photoshoot ft Tatii (SiMa EP)

Комментарии

  • @georgekinyemba5397
    @georgekinyemba5397 День назад

    P mawenge Alf kwenu kiwalani bombom boda bdo wanakuulizia nimewambia utarudi

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 20 часов назад

      @@georgekinyemba5397 😂😂

    • @georgekinyemba5397
      @georgekinyemba5397 20 часов назад

      @@PMawenge2018 hiyo Ngoma ya customer care umeupiga mwingi sana uliwaza nn kaka pambana kaka game Haina mwenyew kaka nakukubaki sana na wanangu apa

  • @AliMakame-fd2zk
    @AliMakame-fd2zk 3 дня назад

    P the mc nomaaaaa

  • @CamauJoseph-qw7cd
    @CamauJoseph-qw7cd 7 дней назад

    Umebaki ww tu ao waongo tu

  • @IsmaghilMwendwa
    @IsmaghilMwendwa 8 дней назад

    Wewe😂😂😂😂 nomaaaa sanaaaa

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 9 дней назад

    I'm watching it 2024🎉 #tellaaxistz

  • @putinvladimir4788
    @putinvladimir4788 13 дней назад

    KAKA KAKA KAKA NAKWITA MARATATU 😢😢😢😢 Umeskia Umbwa mwitu by @younglunya?? Yani inspiration imetok apa Asante🙏 ruclips.net/video/qeA3VZqTmws/видео.htmlsi=Ub2Z4D3mg_bmJvuu Ingoma nkizi

  • @phinaphina3201
    @phinaphina3201 16 дней назад

    Mawenge u too nice my guy. Respect kwako

  • @twaibunassoro8607
    @twaibunassoro8607 18 дней назад

    🔥

  • @SasuraSolomon
    @SasuraSolomon 21 день назад

    Kali

  • @piusvalerian9827
    @piusvalerian9827 24 дня назад

    Tz best raper...

  • @marcobunzali4204
    @marcobunzali4204 25 дней назад

    Umeua p mawenge

  • @Yohbad
    @Yohbad 27 дней назад

    Uncle p hii beat niya song gani

  • @Africambili
    @Africambili 27 дней назад

    I like it now 2024 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-pu4di3sz5z
    @user-pu4di3sz5z 29 дней назад

    Video mbaya p unazingia umebadilika huko nyuma haukuwa ivo unatia aibu sasa ndo wamekupa shingapi acha usenge

  • @NatuRayde-zy8nl
    @NatuRayde-zy8nl 29 дней назад

    Waoooh hatari kabisaaaaa

  • @eliaschema335
    @eliaschema335 Месяц назад

    hii beat ni ya ngoma gani ya Nikki mbishi jamani nikumbusheni

  • @erikepimark6320
    @erikepimark6320 Месяц назад

    Wanaosema ngoma sio kali nao ni waongo

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz Месяц назад

    Mawenge sema kitu chochote basi, Lunya anasumbua uku #tellaaxistz

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 Месяц назад

      Shuuli toxic kashaimaliza vizuri tu

  • @HajiMasmenti
    @HajiMasmenti Месяц назад

    Skia mzee p ktk.watu wanao nimalizia bando ww pia umo achana na izo habar.halafu hii dunia amna mkamilifu kwaiyo ukifer kubari kuwa .umeferi usifosi chumv kuwa sukari maana leo hii ata ukiunga mkono kuusu ushoga na mashoga wote watakuwa upande wako kwakuwa icho kitu wana kipenda. Tatoo choleni ila usiweke kwenye hualali kwa7bu ya watu frani wanazo kilamtu na chaguo lake.lkn watu ngoma ngumu wakikuona to wanajua kabisa mizinguo to.haina noma ustoke kwenye pinch uko vzr mno nakubar sana kazi zako. chafu yetu achana na mtt msenge to yule ajatimba kiwanja chochote anakula .vitumbua na mama ake bongo tu hapa

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz Месяц назад

    Nomq mzee ❤ #tellaaxistz

  • @mdasaboi
    @mdasaboi Месяц назад

    ...ndio maana custormer care alielewaa man mawenge

  • @juliusngowi952
    @juliusngowi952 Месяц назад

    Nice perfomance 💥🌶🌶

  • @Thedonrboysuper_tz
    @Thedonrboysuper_tz Месяц назад

    Weeengeee🔥🔥🔥

  • @bektv5059
    @bektv5059 Месяц назад

    Goma Kali sana Hili 💥💯

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 Месяц назад

    Dini zimekataza na kitu chochote kisisicho mpendeza Mwenyezimungu ni dhambi

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 Месяц назад

      Kwa wasio na dini vipi? Maana sio kila mtu ana dini

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Месяц назад

      @@PMawenge2018 wasio na dini ndio wapotevu wenyewe maana Adam Ambae ni baba wa ulimwengu Alikuw na dini ingekuwa ni kitu kizuri na hakina shaka Hata jeshini wasinge KIPINGA ukiona hvyo kuna walakin

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 Месяц назад

      @@zuberimohamed43 wewe umeambiea hayo kwenye vitabu na majengo yako ya dini4 vipi wa hadzabe ambao hawana vitabu na hayo majengo yako, hawamjua huyo Adam wanajuana wao tu. Nipe somo hapo maana usisimamie unachoamini wewe ukalazimisha wote wakiamini

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Месяц назад

      @@PMawenge2018 hao wanaish katika ulimwengu wa ujinga ulimwengu ambao hawajui hata rais ni nani wanahitaji kupewa elimu na kutambua Asili yako lakini hao wahdzabe cyo rahis kuwakuta wana hizo tattoo wengi wenye tattoo ni hawahawa ambao wametoka kwenye familia ambazo ni waumini wa hizo dini leo hii ukikusanya watu 10 wenye hiyo michoro ukiwaulza hkna hata m1 ambaye hana dini pale kikosi kazi nani ambaye hana dini ?? Na je hkn mwenye tattoo 😀

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 Месяц назад

      @@zuberimohamed43 hapana sio kweli kwa kuwa kama makabila/jamii inaweza kutoboa sikio, kutoboa midomo, kuchana meno usiniambie kuchora miili hawakufanya. Ndio maana wamakonde wanafanya chale na ndonya kabla ya hizo unazoita dini kuja na hata baada yake. Unachokiamini wewe kinaitwa dini sio kila mtu ana mchongo nacho, baki nacho wewe na hao wengine wabaki na walipo. Hakuna mjinga hapo, usikute wanakuona mjinga wewe unayeamini ulichoambiwa na hujawahi kukiona mkuu. Bora wao wanaamini miti na wanaiona na mpaka leo inawapa matokeo….wewe dini isipokupa matokea unasema Mungu hajaamua ipo siku😂

  • @BEASTMASTERCorrector
    @BEASTMASTERCorrector Месяц назад

    Dully Sykes kaifanyia kweli chorus.

  • @MulababazOG
    @MulababazOG Месяц назад

    Respect 👊 hii imeenda mwamba

  • @Pai-3.14
    @Pai-3.14 Месяц назад

    Blessed kid

  • @buye5436
    @buye5436 Месяц назад

    Naikumbuka hii...

  • @user-cy8el2pg6t
    @user-cy8el2pg6t Месяц назад

    Mgoma Bado ya moto💥💥

  • @VisualsByEnokaOti
    @VisualsByEnokaOti Месяц назад

    Uko vizuri bro

  • @KishStopar
    @KishStopar Месяц назад

    Noma sana

  • @hamisisonga4ef5m
    @hamisisonga4ef5m Месяц назад

    p maweeenge respect brooh nakukubali Sana ila mpe salamu Sana mtoto wa singerpool s.o.n.g.a aliniliza Sana kwenye ngoma yake ya usiku

  • @moretrixxmontana6208
    @moretrixxmontana6208 Месяц назад

    Coming soon💪💪👊🔥🔥🔥

  • @africanroots9096
    @africanroots9096 Месяц назад

    Wengeee

  • @snaidertv1857
    @snaidertv1857 Месяц назад

    Nakukubali nut kwel hili umefail big

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 Месяц назад

      Hayo ni maoni, weka yako kwenye comment sijakwambia uongelee yangu, elewa mada

    • @snaidertv1857
      @snaidertv1857 Месяц назад

      @@PMawenge2018 wewe n msanii ambaye mara nying unatakiwa uwe mshauri mzuri hasa kstika game la hiphop na ss wengne hatujaanza kukufuatilia leo but hata maandika ya Walawi 19:28 yanasema “ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi BWANA.

  • @LongfengchausangChausang
    @LongfengchausangChausang Месяц назад

    Yaaah imenyooka hiyo na imeenda vyema

  • @jamalubwa
    @jamalubwa Месяц назад

    Tattoo sio uhuni ila ni ushetani na ndo maana wasanii wa marekani wingi walochora ni MA gangster ila machoko Sasa 0:54 0:54 0:54

  • @jamalubwa
    @jamalubwa Месяц назад

    Tattoo sio uhuni ila ni ushetani na ndo maana wasanii wa marekani wingi walochora ni MA gangster ila machoko Sasa

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018 Месяц назад

      Weeeh sasa umewajuaje? 😂😂😂

  • @user-mb3xq1do3s
    @user-mb3xq1do3s Месяц назад

    "Vybz kartel couloring book "ndo umechukua hii idea

  • @chumayaoinvestment1647
    @chumayaoinvestment1647 Месяц назад

    Chumayao

  • @emmanuelroberth5930
    @emmanuelroberth5930 Месяц назад

    Kalii

  • @GucciJackson-sw6pg
    @GucciJackson-sw6pg Месяц назад

    Sio Kila mwanamke mwenye tattoo ni Malaya ila Malaya wengi wana tattoo

  • @HajiMasmenti
    @HajiMasmenti Месяц назад

    Mnafanana na mashangingi wa mjini choleni tu wanetu so mbaya kilamtu na chaguo lake aweeh

    • @KaSengo111
      @KaSengo111 Месяц назад

      Wwe ambae hujachora unamwonekano gani wa kutisha hadi uite watu shangingi choko ww.

  • @kevinchaula777
    @kevinchaula777 Месяц назад

    P clay

  • @Realjaymuga
    @Realjaymuga Месяц назад

    Mimi ni msanii atakae ni follow na mfollow

  • @littlesakhoiv1893
    @littlesakhoiv1893 Месяц назад

    wengeeeeeeeeee✅

  • @robert_wizreign
    @robert_wizreign Месяц назад

    Tatoo

  • @HamiskMatunguli
    @HamiskMatunguli Месяц назад

    Sawa kaka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HamiskMatunguli
    @HamiskMatunguli Месяц назад

    Mpaka Leo naikupali 2024